Friday 6 February 2009

UTAMBULISHO

Wapendwa, naomba kujitambulisha kwenu katika ulimwengu wa kupashana habari mbali mbali hususani maarifa ya kutupatia nafuu ya maisha. Naitwa Freddy Mbeyella ni Mtanzania naishi Dar es Salaam.

3 comments:

  1. karibu sana ndugu. sisi tmedumu vyakutosha na wewe karibu sasa tuendeleza mambo. welcum

    ReplyDelete
  2. Hivi ni kweli mtu akiuacha mwili wake(akifa) pengo lake haliwezi kuzibika?

    ReplyDelete