Friday, 6 February 2009

UTAMBULISHO

Wapendwa, naomba kujitambulisha kwenu katika ulimwengu wa kupashana habari mbali mbali hususani maarifa ya kutupatia nafuu ya maisha. Naitwa Freddy Mbeyella ni Mtanzania naishi Dar es Salaam.